All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Majina ya Wanafunzi Kidato cha Sita Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2017 - Global Publishers
May 25, 2017
globalpublishers.co.tz
3:30
WAHITIMU KIDATO CHA SITA WAITWA JKT MUJIBU WA SHERIA | JKTTanzania
17.8K views
1 year ago
Facebook
JKTTanzania
2:10
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewaita vijana wote waliomaliza kidato cha sita mwaka 2023, kuripoti katika makambi ya Jeshi hilo kwa ajili ya mafunzo ya kwa mujibu wa sheria kuanzia Juni Mosi hadi 11 mwaka huu. Hayo yamesemwa leo Mei 25, 2023 na Mkuu wa Tawi la Utawala wa JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena, wakati wa kutoa taarifa iliyotolewa kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi hilo, Meja Jenerali Rajabu Mabele. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
12.4K views
May 25, 2023
Facebook
HabariLeo
1:52
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) imewaita makambini vijana waliohitimu kidato cha sita kwa mwaka 2023, kutoka shule zote za Tanzania Bara, ili wahudhurie mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2023. #KilichoBoraKabisa | Channel Ten Tz
6.2K views
May 25, 2023
Facebook
Channel Ten Tz
1:31
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa wito kwa vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka 2025 kutoka shule zote Tanzania Bara, kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2025. Akiwasilisha wito huo Jijini Dodoma, Kaimu Mkuu wa Utawala wa JKT, Kanali Juma Mrai amesema vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye kambi mbalimbali kuanzia Mei 28 hadi Juni 08, 2025. Ametaja kambi ambazo wahitimu hao wa kidato cha sita watakwenda kuripoti kuwa ni JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruv
3.5K views
1 year ago
Facebook
Kapinga Mgoligota
2:09
VIJANA wenye ulemavu wanaomaliza kidato Cha sita na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi ya ya kikosi Cha 832 RUVU JKT wametakiwa kutoogopa mafunzo hayo badala yake wajiunge na kushiriki kwa ajili ya manufaa yao na Taifa kwa ujumla | Channel Ten Tz
136.3K views
Sep 5, 2024
Facebook
Channel Ten Tz
2:36
#VIDEO Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita mwaka 2025 wameitwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa nchini ili kuweza kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kuanzia kesho hadi Juni 8 mwaka huu. #EATVSAA1 #UtajiriWaHabari #EastAfricaTV | East Africa TV
2.2K views
1 year ago
Facebook
East Africa TV
Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano (2021) - Global Publishers
Aug 18, 2021
globalpublishers.co.tz
Majina waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati mwaka 2025
11 months ago
jamiiforums.com
0:43
T A N G A Z O. Shule inawatangazia 1. Nafasi za Kidato cha kwanza 2026 2. Nafasi za Kidato cha Tano 2025/2026 3. Nafasi ya kuhamia kidato cha pili, Tatu na Tano 4. Nafasi ya kurudia Mitihani ya kidato cha Nne na Masomo ya QT Miaka 2 na Form V na VI mwaka mmoja. NB: Shule ni ya kutwa na Bweni na Ada zake ni Nafuu sana. Wapo Mgulani JKT Wilaya ya Temeke, Dar es salaam. Mawasiliano, Wapigie 0784 275 669 0749 401 112 | Sumajkt Tanzania
2.9K views
8 months ago
Facebook
Sumajkt Tanzania
0:38
Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee JKT Kanali Emmanuel Mwaigobeko amesema wanafunzi wa kidato cha Sita mwaka 2025 wameandaliwa vizuri ili kukabiliana na Mtihani wao wa Mwisho utakaofanyika Mapema mwaka huu. Kanali Mwaigobeko ameyasema hayo leo tarehe 26 Aprili 2025 katika Maafali ya 31 ya kidato cha Sita katika shule hiyo iliyopo Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikua Mhe. Abdallah Chaurembo Mbunge wa Jimbo la Mbagala. | Sumajkt Tanzania
608 views
Apr 26, 2025
Facebook
Sumajkt Tanzania
2:01
Shule ya Sekondari Jitegemee JKT iliyopo Temeke Dar es salaam imeadhimisha Maafali ya 31 ya kidato cha Sita leo tarehe 26 Mwezi Aprili 2025. Mwanahabari wetu Sajini Paulo Misana amemulika Tukio hilo. Youtube ni SUMAJKT TV. https://youtu.be/CEA38zKisUc?si=S9JyShWjIPPkdl1D | Sumajkt Tanzania
2.2K views
Apr 26, 2025
Facebook
Sumajkt Tanzania
2:13
Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee JKT Kanali Emmanuel Mwaigobeko anawakaribisha Wazazi na Walezi kupeleka watoto wao katika Shule hiyo ili kupata Elimu bora. Jitegemee ni Shule yenye mchanganyiko wa Wavulana na Wasichana kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Shule ipo katika kikosi cha Mgulani JKT Wilaya ya Temeke, Jijini Dar es salaam. (Elimu, Nidhamu na Kujitegemea.....!!!!! | Sumajkt Tanzania
951 views
9 months ago
Facebook
Sumajkt Tanzania
3:32
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema jeshi hilo linalenga kutoa mafunzo muhimu kwa maisha ya vijana waliomaliza kidato cha sita au wengine na kusisitiza kuwa katika jeshi hilo kitu kinachoitwa ‘doso’ hakipo. Doso ni neno maarufu majeshini ambalo hutumiwa kumaanisha hekaheka, suluba, na adhabu za hapa na pale. “Haya tunayowafundisha kwa kweli kwanza ni mambo ambayo ni ya kumweka kijana timamu... Kumfanya yule kijana awe timamu kiafya, mwili wake uwe timamu, n
5.1K views
May 21, 2025
Facebook
TBConline
2:04
Hivi ndivyo Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jitegemee JKT walivyopita kwa Heshima mbele ya Mgeni Rasmi kwamwendo wa Pole katika Sherehe za Kufunga Mafunzo ya Ukakamavu kwa kidato cha Tano na wanafunzi wanaohamia kutoka Shule jirani Leo tarehe 29 Agosti 2025. Tembelea Ukurasa wetu wa Youtube SUMAJKT TV. https://youtu.be/IsB1cj0Osc4?si=e02cP_gbRmd_UgOn | Sumajkt Tanzania
160.4K views
8 months ago
Facebook
Sumajkt Tanzania
6:18
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, anatoa wito kwa Vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2025, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2025. Sanjari na wito huo, JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 28 Mei 2025 tarehe hadi 08 Juni 2025. Orodha kamili ya majina ya vijana hao, Makambi ya JKT waliyopangiwa na maeneo M
169 views
1 year ago
Facebook
BM Tv Tanzania
1:43
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania limethibitisha kuwa maandalizi ya kuwapokea vijana wapya kwa ajili ya mafunzo ya mujibu wa sheria yamekamilika. Mafunzo haya yanawalenga wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu. Akizungumza na TBC, Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala wa JKT, Kanali Juma Mrai, amesema kuwa mazingira ya kambi mbalimbali yako salama na rafiki kwa vijana, huku akieleza kuwa jeshi liko tayari kuanza mafunzo rasmi pindi muda utakapowadia. “Mazingira ya makambi yako vizuri
7.8K views
May 17, 2025
Facebook
TBConline
1:23
FORM FIVE SELECTION 2026 TAMISEMI. WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO VYUO. SELFORM JINSI YA KUANGALIA
5 views
3 months ago
YouTube
Teacher Hassan Lemunje _Uga Wa ElimuTv
0:28
Wahitimu Kidato cha Sita Mwanza
35K views
1 month ago
TikTok
twihulumilesecondary
4:03
Maandalizi ya Mahafali Kidato cha Sita Imboru
4.9K views
1 month ago
TikTok
elibarikijoshua63
4:10
What happened to a 17-year-old boy who pretended to be a soldier!
822.5K views
Dec 5, 2017
YouTube
Global TV Online
3:26
Shuhudia Mwanajeshi JWTZ aliyeua Chatu anaemeza Watu bila woga. HII NDIYO HAZINA YA JESHI LETU
2.8M views
Jul 9, 2021
YouTube
UGA TV
19:53
MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2020/2021|Topic 6 Zitakazotunga Mtihani Wa Kiswahili|form four 2020/2021|
37.4K views
Aug 20, 2020
YouTube
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
2:06
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025/2026 haya hapa.
96.6K views
Dec 8, 2019
YouTube
The Old Platform
6:51
Jinsi Ya Kujibu Maswali Ya Vitabu|KIDATO CHA 3/4|#Necta |NECTA ONLINE|FORM 3|FORM 4|KISWAHILI|form 6
73.1K views
Jul 7, 2020
YouTube
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
2:53
JINSI YA KUANGARIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020/2021
143.6K views
Jan 15, 2021
YouTube
Gabizo Media
10:01
SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO CHA VETA 2021/2022|Jinsi ya Kujiunga na Veta/FOMU ZA KUJIUNGA NA VETA 2022.
47.3K views
Apr 16, 2021
YouTube
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
1:38
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024|Matokeo ya kidato Cha Pili 2020/2021| Form two results 2024/2025
251.2K views
Dec 26, 2020
YouTube
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
2:15
MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA 2025
1.6K views
Apr 2, 2025
YouTube
MWL NYERERE SEC SCHOOL
0:29
WANAFUNZI MUJIBU WA SHERIA MAZOEZINI MLALE JKT
25K views
Jul 21, 2020
YouTube
JEMEDARI TV
See more
More like this
Feedback