Kupoteza fahamu kutokana na unywaji wa pombe kupita kiasi ni hali ambayo watu wengi wameshawahi kushuhudia japo mara moja maishani. Suala la kusahau au kupoteza kumbu kumbu baada ya kunywa pombe ...