Kwenye mitandao ya kijamii katika siku za hivi karibuni, haswa kitengo cha kuacha maoni kwenye Facebook,Instagram na Tiktok, msemo 'umemeza Brufen' umesheheni pakubwa. Nchini Kenya msemo huu ulipata ...